February 18, 2014

UONGOZI WA TPSF WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
 eneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Calvin Nkya akieezea jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta, wakati ujumbe wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ulipotembelea kiwanda hicho. Viongozi hao wa TPSF kutoka kushoto ni, aliyekaa ni Ofisa Mawasiliano, Rehema Mtingwa, Mkurugenzi Mtendaji Godfrey Simbeye, Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama, Louis Accaro na Mkurugenzi wa Sera, Edward Furaha.
 Nkya akiwaonesha viongozi hao wa TPSF, mtambo wa kutengenezea maji yaliyotumika kuwa safi kwa ajili ya matumizi mengine.
Nkya akiwa na Simbeye eneo la matanki ya kupikia bia mbalimbali
Simbeye akioneshwa na Nkya matanki mbalimbali
 Mpishi wa Bia wa TBL, Fadhili Sinkala akiwaonesha viongozi wa TPSF jinsi bia inavyopikwakwa kutumia kompyuta
   Nkya akiwaonesha moja ya malighafi zinazotumika kutengenezea bia
     Malighafi zinazotunmika kutengenea bia
   Simbeye akipiga picha vinywaji kwenye stoo ya maabara ya kiwanda hicho
 Ujumbe wa TPSF ukitembezwa ndani ya kiwanda hicho sehemu ya matanki ya kuhifadhia bia
    Wakiangalia baadhi ya mitambo kiwandani hapo
 Wakitembelea eneo la ujazaji bia kwenye chupa
 Meneja Uhusiano Mambo ya Nje wa TBL, Emma Orio (kulia) akielezea historia kiwanda na utendaji w TBL
  Simbeye akiuliza swali kwa Orio kuhusu utendaji wa TBL
Viongozi wa TPSF na TBL wakiwa katika picha ya pamoja. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

No comments:

Post a Comment

Pages