February 16, 2014

WASSIRA AHOJIWA NA KAMATI KUU YA CCM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akitoka nje ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya Maadili.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi,Wassira aliwaeleza waandishi kuwa hakukuwa na tuhuma juu yake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ), Stephen Wassira akifurahia jambo na Kada Maarufu wa CCM, Adam Soud mara baada ya kumaliza mazungumzo na waandishi wa habari leo mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages