February 14, 2014

KAMATI YA MAADILI YA CCM YAMUHOJI JANUARY MAKAMBA
 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili. (Picha na Adam Mzee)
 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.

No comments:

Post a Comment

Pages