February 22, 2014

YANGA YAFANYA  MAUAJI UWANJA WA TAIFA YAIFUNGA RUVU SHOOTING 7-0
Kikosi cha Yanga.
 Kikosi cha Ruvu Shooting.
 Mchezaji wa Yanga, Juma Abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.
 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.
 Dogo huniwezi.................
 Sasa naenda kufunga......
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao.
Washambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya magoli waliyoifungia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0 (Picha zote na Francis Dande)
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao.
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akisalimiana na mashabiki wa Yanga.

No comments:

Post a Comment

Pages