Meneja Masoko wa
Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati
wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier
(katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni
ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.

Mwanamichezo kutoka
nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa
ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari
baada ya kutambulishwa.
Mwanamichezo kutoka
nchini Ufaransa Sean Garnier akionyesha staili mbali mbali za kucheza
mpira mbele ya waandishi wa habari.




No comments:
Post a Comment