Kocha wa Simba, Patrick Phiri akizungumza
na wachezaji wa timu yake kabla ya kuanza kwa mazoezi kwenye Uwanja wa Bunju
Ununio jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
wAWachezaji wa Simba, wakimsikiliza kocha wao, Patrick Phiri akizungumza
na wachezaji wa timu yake kabla ya kuanza kwa mazoezi kwenye Uwanja wa Bunju
Ununi.
Hapa ni kazi tu......sawa?
No comments:
Post a Comment