Tunaomba michango ya hali na mali
iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi: 0763210530 au kupitia Tigo pesa
ya mke wake Sara Obel: 0713560844.
Asante
sana na mbarikiwe. Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio la ajali hiyo
ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali
za familia hiyo.
No comments:
Post a Comment