October 25, 2014

BASS STATION RECORD NA UJIO WA WIMBO MPYA WA "HAWA"


 NA SYLVESTER DAVID
PRODUCER maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka katika studio za BASS STATION RECORD-ILALA Jijini Dar es salaam,'BROBLAH FEELING',amewataka watanzania kuisapoti ngoma mpya ya HAWA,Msanii ambaye alifanya ngoma ya nitarejea na DIAMOND inayotoka hivi karibuni.  
(BROBLAH)  

Akizungumza na HABARI MSETO BLOG ofisini kwake ILALA-BUNGONI, SHARIFU SHAMBA alisema wimbo huo umebeba ladha za  nzuri ambazo zitakonga mshabiki wa muziki wake nchini.

"Nimeamua kumtambulisha HAWA kwa mashabiki wa muziki nchini kutokana na kimya cha muda mrefu baada ya ngoma ya nitarejea ya Diamond Platinum".Alisema BROBLAH

Pamoja na hayo BROBLAH aliongeza kuwa kuna nyimbo tisa ambazo pia ataziachia za wasanii mbalimbali wakubwa na wachanga nchini.

Aliwataja wasanii hao kuwa ni CHIBWA,SUMARYDER,SPINCE SISEME(SP),NANCY KIDOLI,NASRI VANILA,BUDA MONK, MAPOUNCH,BIG MELLA NA  BY.
(BROBLAH: 0714-368685)

No comments:

Post a Comment

Pages