NA SYLVESTER DAVID
PRODUCER
maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka katika studio za BASS
STATION RECORD-ILALA Jijini Dar es salaam,'BROBLAH FEELING',amewataka
watanzania kuisapoti ngoma mpya ya HAWA,Msanii ambaye alifanya ngoma ya
nitarejea na DIAMOND inayotoka hivi karibuni.
(BROBLAH)
Akizungumza
na HABARI MSETO BLOG ofisini kwake ILALA-BUNGONI, SHARIFU SHAMBA alisema
wimbo huo umebeba ladha za nzuri ambazo zitakonga mshabiki wa muziki
wake nchini.
"Nimeamua
kumtambulisha HAWA kwa mashabiki wa muziki nchini kutokana na kimya cha
muda mrefu baada ya ngoma ya nitarejea ya Diamond Platinum".Alisema
BROBLAH
Pamoja na hayo BROBLAH aliongeza kuwa kuna nyimbo tisa ambazo pia ataziachia za wasanii mbalimbali wakubwa na wachanga nchini.
Aliwataja wasanii hao kuwa ni CHIBWA,SUMARYDER,SPINCE SISEME(SP),NANCY KIDOLI,NASRI VANILA,BUDA MONK, MAPOUNCH,BIG MELLA NA BY.
(BROBLAH: 0714-368685)
No comments:
Post a Comment