October 10, 2014

KAMPUNI YA MEGATRADE WATENGENEZAJI WA KVANT WANOGESHA TAMASHA LA WAKAZI WA TABATA SHULE

 Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Albet Kingu kushoto akimkabidhi zawadi ya chupa ya Kvant 750ml Ally Yanga wakati wa tamasha lililowakutanisha wakazi wa tabata shule mwishoni mwa wiki tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa burudani kwa wakazi hao.
Maofisa wa Kampuni ya  Kampuni ya Megatrade inayotengeneza kunywaji cha Kvant wakiburudika kwa pamoja wakati wa tamasha waliloliandaa kwa ajili ya wakazi wa Tabata shule.

No comments:

Post a Comment

Pages