October 12, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwelekeza ofisa wa Bunge wakati wa shughuli za kutoa heshimam za mwisho kwa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Bw. Saidi Yakubu, MC wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt William Shija leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Anne Makinga akiongea wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu Dkt William Shija leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Sehemu ya waombolezaji
Rais Kikwete akipeana mikono na Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) baada ya kutoa salamu za rambirambi kutoka makao makuu ya CPA jijini London. 
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) akimkabidhi binti wa marehemu vitabu vya maombolezo vilivyotiwa saini na waombolezaji huko London Uingereza.
Familia ya marehemu Dkt William Shija wakiwa  katika shughuli za kuaga mwili leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Pages