October 12, 2014

TAIFA STARS YAIFUNGA BENIN 4-1

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij (kulia) akisalimiana na kocha wa Benin, Didier Olle Nicolle wakati kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Francis Dande)

Kikosi cha Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya  pambano lao na Benin.
Mrisho Ngasa akiwatoka wachezaji wa Benin.

Mshambuliaji wa timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngasa (kulia) akichuana na beki wa Benin, Adeoti Jordan katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwsenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Stars ilishinda 4-1.  
 Beki wa Stars, Shomari Kapombe akimtoka mchezaji wa Benin, Djigla David.

No comments:

Post a Comment

Pages