October 12, 2014

REDD'S MISS TANZANIA NI SITTI MTEMVU

Redd's Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiwa na mshindi wa tatu, Jihan Dimachk  (Kushoto) na mshindi wa pili, Lilian Kamazina mara baada ya kutangazwa.
 Msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee akitumbuiza katika shindano hilo.
 Msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee akitumbuiza katika shindano hilo. 
 Warembo wakicheza shoo ya ufunguzi wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014.

 Vanesa akifanya vitu vyake.
 Wasanii wakitoa burudani.
 Warembo wakiwa na vazi la ufukweni.
 Vazi la ufukweni.
Vanes akitoa burudani. 
 Warembo walioingia katika hatua ya 15 bora.
 Tano bora.
 Ommy Dimpoz akiimba na Vanesa Mdee
 Meneja wa Kinywaji cha Redd's Victoria Kimaro akimkabidhi mfano wa hundi, Redd's Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.
 Redd's Miss Tanzania akikabidhiwa mfano wa hundi.
 Redd's Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiwapungia mkono wadau wa urembo waliohudhuria shindano hilo.

 Sitti Mtemvu akipongezwa na baba yake, Mbenge wa Temeke Abbas Mtemvu baada ya kuvishwa taji la Redd's Miss Tanzania usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City
 Mbunge wa Temeke Abass Mtemvu akipongezwa na wadau wa urembo baada ya binti yake kutwaa taji hilo.
 Nbunge wa Temeke akizungumza na waandishi wa habari.
 Redd's Miss Tanzania akiwa amezungukwa na mabausa.
 Warembo wakionyesha vibaji vyao.
  Warembo wakionyesha vibaji vyao.
 Warembo wakionyesha vibaji vyao.

No comments:

Post a Comment

Pages