November 04, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAJUMBE WA ILIYOKUWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, SERENA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kuzungumza na aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, walipokutana katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014 baada ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waliokuwa wajumbe wa Tume ya Katiba mpya, kutoka (kushoto) ni Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Julius Butiku na Prof. Mwesiga Baregu, baada ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Pages