November 04, 2014

VIGOGO WA TPDC WALIOSHINDWA KUWASILISHA MIKATABA YA GESI WAPELEKWA POLISI

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), Michael Mwanda akipanda kwenye gari la Polisi kupelekwa kituo cha Kati chja Polisi jijini Dar es Salaa, kwa kushindwa kutekeleza maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali na Mashirika ya Umma (PAC). (Picha na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), Michael Mwanda akielekea kupanda gari la Polisi kupelekwa kituo cha Kati chja Polisi jijini Dar es Salaa, kwa kushindwa kutekeleza maagizoi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali na Mashirika ya Umma (PAC).

No comments:

Post a Comment

Pages