November 06, 2014

NHIF YAPELEKA MADAKTARI MKOANI MARA, WAWAFANYIA UPASUAJI WAGONJWA MBALIMBALI

unnamedMwakilishi wa naibu mkurugenzi mkuu wa NHIF Bwana Michael Kishiwa (mwenye koti jeusi) akimkabidhi  Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome  vifaa tiba, kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo ya mkoa wa mara.unnamed5Wananchi na wagonjwa wakifatilia kwa makini zoezi zima la makabidhiano ya vifaa tiba lililokuwa likiendelea meza kuuunnamed7unnamed1Mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Jackson Msome akitoa neno la shukurani kwa madaktari mabingwa katika siku ya ufunguzi wa huduma hizo katika hospital ya mkoa ya mara.unnamed2Wauguzi wa hospital ya mkoa wa mara wakifatilia kwa makini makabidhiano ya vifaa tiba vilivyokabidhiwa kwa mganga mkuu wa hospital hiyo.unnamed4Mwakilishi wa Kaimu mkurugenzi mkuu akitoa neno kabla ya kukabidhi vifaa tiba kwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mh. Jakson Msome aliyekaa kuli. Kushoto  ni Meneja wa NHIF mkoa wa Mara  Dr. Mgude Bachunya.unnamed8
Baadhi ya wafanya kazi wa NHIF na wadaktari wakiwa katika picha ya pamoja
unnamed
Baadhi ya madaktari bingwa na maafisa wa NHIF waliokwenda mkoani Mara kwa ajili ya zoezi hilo, kutoka kushoto ni Dr. Rogatus (Daktari Bingwa wa watoto) toka hospitali ya Bugando, Dr Albert( bingwa wa usingizi) toka MOI, Dr Tiba (bingwa wa magonjwa ya moyo) toka hospital ya taifa ya muhimbili, Sabina Komba (Afisa uhusiano)toka NHIF makao makuu, sadick Adamu (logistics) toka NHIF makao makuu, Dr Rumanyika( bingwa wa magonjwa ya kinamama) toka hospital ya Bugando.

No comments:

Post a Comment

Pages