Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za
Serikali (PAC), Zitto Kabwe (katikati) akiwauliza maswali viongozi wa Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), kuhusu taarifa za Fedha za Mamlaka hiyo wakati kamati
hiyo ilipokutana katika ofisi za bunge jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za
Serikali (PAC), Zitto Kabwe (katikati) akiwauliza maswali viongozi wa Mamlaka
ya Mapato Tanzania (TRA), kuhusu taarifa za Fedha za Mamlaka hiyo wakati kamati
hiyo ilipokutana katika ofisi za bunge jijini Dar es Salaam.
Kamishina wa Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),
Rished Bade akitoa ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) juu ya taarifa za Fedha za mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Kamishina wa Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),
Rished Bade akitoa ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Hesabu za Serikali (PAC) juu ya taarifa za fedha za mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kamishina wa Forodha, Tiagi Kabisi na Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi, Benard Mchomvu.
No comments:
Post a Comment