Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim
Lipumba (katikati) akiwa amewekewa ulinzi na wafuasi wa chama hicho wakati
Polisi walipozuia maandamano ya amani yaliyokuwa yafanyike leo kuanzia Temeke
Hospitali hadi Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam. (Na
Mpiga Picha Wetu)
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim
Lipumba akiwapungia mkono wafuasi wake mara baada ya Polisi kuyasambaratisha maandamano ya amani ya chama hicho yaliyokuwa na
lengo la kuwakumbuka wanachama wenzao, walioteswa na kuuawa kwa kipigo cha
Polisi huko Zanzibar Januari 27 mwaka 2001.
Haki......
Walinzi maalum wa CUF wakiwa wameimarisha ulinzi katika gari alilopanda Mwenyekiti wa chama hicho.
Polisi wakizuia maandamano ya CUF katika eneo la Mtoni.
Mlinzi wa Prof. Ibrahim Lipumba akizozana na askari wa kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) wakati walipota kumkamata bosi wake.
Prof. Lipumba akiwa katika gari la Polisi
Mfuasi wa CUF akiwa chini ya ulinzi.
Prof. Lipumba akizungumza na maofuisa wa Polisi.
No comments:
Post a Comment