March 18, 2015

MASHINE YA BVR SASA HAINATATIZO HATA KWA WENYE VIDOLE VYENYE SUGU -NEC

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo  Filikunjombe  akiweka alama za  vidole katika mashine ya  BVR wakati  wa  kujiandikisha katika  daftari  la kudumu la  wapiga  kura  jana ,wa  pili  kulia ni kamishina wa  tume Prof Amone Chaligha.
 Mkazi  wa  Ludewa  mjini  akipigwa  picha ya  kitambulisho  cha mpiga  kura
 kamishina wa  tume Prof Amone Chalighaakihojiwa na wanahabari kulia ni mbunge wa  Ludewa  Deo Filikunjombe akiwa na kitambulisho  chake  kipya  cha  kupigia  kura.
 Mbunge  wa  Ludewa  Deo Filikunjombe akikabidhiwa kitambulisho  chake  cha kupigia kura  mara baada ya  kumaliza  zoezi la kujiandikisha  lililochukua  dakika 15.
 Mbunge  Filikunjombe  akipigwa  picha ya  kitambulisho cha mpiga  kura.
 Kamishina wa  tume Prof Amone Chalighakulia  akionyesha alama za sahihi ambazo mtu  akifoji sahihi katika  eneo  jingine  kikiletwa  kitambulisho  hicho  hubainika 
 Filikunjombe  kushoto  akikabidhiwa kitambulisho  chake  na  muandikishaji  kulia katikati ni kamishina  wa  tume Prof Amone Chaligha akimuelekeza alama maalum zilizopo katika kitambulisho  hicho.
 Wananchi  Ludewa wakiwa katika  foleni ya  kujiandikisha.
Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo  Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi  katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la  wapiga  kura juzi katika  kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini ,wa  pili  kulia anayeshuhudia ni kamishina  wa  tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC)  Prof Amone Chaligha. (Picha na Francis Godwin)

No comments:

Post a Comment

Pages