Mshindi
wa kwanza wa shindano la kuonja bia, Saada
Matiku (katikati) akiwa na mshindi wa pili Kenneth Ngelesi wa Tanzania
Daima kwanza
kulia, na mshindi wa Tatu Meral Chawe wa Daily News wa tatu kushoto
wakiwa na
zawadi zao mara baada ya kutangazwa washindi katika shindalo lilifanyika
kiwanda cha TBL eneo la Iyunga jiji Mbeya. (Mpiga Picha Wetu).
Mwandishi
wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Mkoa
wa Mbeya, Kenneth Ngelesi akipokea zawadi ya bia kutoka kwa mmoja wa
wafanyakazi
wa kiwanda cha TBL,mara baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano
la
kuonja na kuzitambua bia zinazozalishwa na kiwanda hicho kilicho eneo
la Iyunga kwa kupata alama nne kati ya tano.
No comments:
Post a Comment