HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 19, 2015

WAANDISHI WA HABARI WASHINDI WA KUONJA BIA

 Mshindi wa kwanza wa shindano la kuonja bia, Saada Matiku (katikati) akiwa na mshindi wa pili Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima kwanza kulia, na mshindi wa Tatu Meral Chawe wa Daily News wa tatu kushoto wakiwa na zawadi zao mara baada ya kutangazwa washindi katika shindalo lilifanyika kiwanda cha TBL eneo la Iyunga jiji Mbeya. (Mpiga Picha Wetu).
 Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Mkoa wa Mbeya, Kenneth Ngelesi akipokea zawadi ya bia kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha TBL,mara baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la kuonja na kuzitambua bia zinazozalishwa na kiwanda hicho kilicho eneo la Iyunga kwa kupata alama nne kati ya tano.

No comments:

Post a Comment

Pages