kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria.
Baadhi ya makampuni mbalimbali yakikabidhi msaada wa vyandarua kwa balozi wa Malaria Tenga mara baada ya matembezi ya hisani kupambana na malaria yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL walioshiriki matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kampuni hizo kuonesha mapambano na ugonjwa wa malaria wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL walioshiriki matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kampuni hizo kuonesha mapambano na ugonjwa wa malaria wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Malaria nchini Tanzania, Leodger Tenga (katikati mwenye flana nyeupe).
Balozi wa Malaria nchini Tanzania, Leodger Tenga (kushoto) akizungumza kwenye matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali yakishiriki matembezi ya kilometa tano kuashiria mapambano na ugonjwa wa malaria wakifuatilia hotuba mbalimbali kwenye viwanja vya farasi jijini Dar es Salaam
April 27, 2015
Home
Unlabelled
Kmpuni ya TTCL yasaidia vyandarua Siku ya Malaria Duniani
Kmpuni ya TTCL yasaidia vyandarua Siku ya Malaria Duniani
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.


No comments:
Post a Comment