Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, Balozi Libereta Mulamula katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Kikwete akimpongeza Balozi Libereta Mulamula.
Rais Jakaya Kikwete akimvisha nishani ushupavu Koplo Liberatus Ndyetabula.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa nishani pamoja na viongozi wa serikali.
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, Kutoka kushoto ni Tuvako Nathaniel Manongi, Parseko Vicent Kone, Abbas Hussein Kandoro na Balozi Libereta Mulamula.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akimpongeza Balozi Libereta Mulamula.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Tuvako Nathaniel Manongi (kulia) pamoja na familia yake mara baada ya kumtunuku nishani,
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akiwa katika picha ya pamoja na familia yake baada ya kunukuniwa nishani ya ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment