Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowasa (pichani) amejiunga
rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kutolizishwa na
mchakato wa uteuzi wa wagombea wa urais uliomalizika wiki mbili zilizopita
mkoani Dodoma.
Mh. Lowasa aliyefuatana na familia yake huku akiambatana na
mke wake Regina Lowasa ambapo walikabidhiwa kadi za Chadema na Mwenyekiti wa
chama hicho, Freeman Mbowe.
Wakazi wa jijini la Dar es Salaam wakiwa katika Bar ya Break Point wakifuatilia mkutano wa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Lowasa wakati akitangaza kujiunga na Chadema.

Vibanda vya wafanyabiashara vilijaa watu waliokuwa wasikiliza hotuba ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowasa wakati alipotangaza kujiunga rasmi na Chadema.
Watu wakifuatilia katika matangazo ya Televisheni.
Umati wa watu ukifuatilia matangazo ya televisheni.
Viongozi
wa Ukawa waliohudhuria mkutano huo ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahimu Lipumba, Mwenyekiti wa NLD,
Emmanue Makaidi,
Akizungumza
katika mkutano huo Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahimu Lipumba alisema
kuwa endapo wataingia madarakani sheria pamoja na miswada mibovu
iliyopitishwa bunge ikiwemo sheria ya mafuta na gesi watazifuta na
kutunga sheria mpya kwa manufaa ya taifa.
Aidha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alilitaka kundi la Frands of Lowasa kujiunga na Chadema ili kuongeza nguvu katika harakati za kuing'oa CCM madarakani.
Aidha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alilitaka kundi la Frands of Lowasa kujiunga na Chadema ili kuongeza nguvu katika harakati za kuing'oa CCM madarakani.
Wakazi wa jijini la Dar es Salaam wakiwa katika Bar ya Break Point wakifuatilia mkutano wa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Lowasa wakati akitangaza kujiunga na Chadema.
Wakazi wa jijini la Dar es Salaam wakiwa katika Bar ya Break Point wakifuatilia mkutano wa Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Lowasa wakati akitangaza kujiunga na Chadema.
Vibanda vya wafanyabiashara vilijaa watu waliokuwa wasikiliza hotuba ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowasa wakati alipotangaza kujiunga rasmi na Chadema.
Watu wakifuatilia katika matangazo ya Televisheni.
Umati wa watu ukifuatilia matangazo ya televisheni.
No comments:
Post a Comment