August 09, 2015

BENKI YA CRDB YAKABIDHI CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MAKULU-DODOMA

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge (wa pili kulia) akikata utepe wakati wa hafla ya makabidhiano ya choo cha kisasa kilichojengwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Msingi Makulu iliyopo mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma, Augustino Kalinga na Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo, Joyce Mwakasonda (kulia). (Picha na Francis Dande)
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi choo cha kisasa kilichojengwa na Benki ya CRDB kwa Shule ya Msingi Makulu mkoani Dodoma.
 Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madengeakizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki wa CRDB wakishirikiana na walimu wa shule ya Makulu Dodoma wakishiriki kupaka rangi pamoja na kukata mabomba. 
Wazazi wakiwa katika hafla hiyo.

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Huduma kwa Wateja Tully Mwambapa akiwatunza wanafunzi waliokuwa wakiimba ngonjela wakati wa hafla hiyo.
 Kibao cha shule.
 Meza Kuu.
 Wanafunzi wakiwa katika hafla hiyo.
 Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakipokea mti wa kumbukumbu ambao waliupanda katika Shule ya Msingi Makulu.
 Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge akimwagilia maji mti wa kumbukumbu.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimwagia maji mti wa kumbukumbu.
 Muonekano wa choo cha zamani.
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Makulu mbele ya jengo la choo cha kisasa baada ya uongozi wa Benki ya CRDB kukabidhi rasmi choo hicho.

No comments:

Post a Comment

Pages