September 15, 2015

EFM YAANZISHA SHINDANO LA KANGA KWA WANAWAKE KUPITIA KIPINDI CHA UHONDO

 Ofisa Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo  kuzungumza na wanahabari.
 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu shindano lililoanzishwa na redio hiyo la Kanga kupitia kipindi cha Uhondo kwa ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa redio hiyo ambalo limeanza rasmi jana. Kulia ni Mtangazaji wa kipindi hicho, Dina Marios na Ofisa Habari, Lydia Moyo.

No comments:

Post a Comment

Pages