Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya (MBPS) Immanuel Lengwa akimkabidhi taarifa ya chama hicho Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nauye katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya katika Mkutano wake na na wadau wa Wizari hiyo kutoka Mikoa ya Mbeya na Songwe. (Picha na Kenneth Ngelesi)
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nauye akizungumza na wadau wa wizara hiyo kutoka Mikoa ya Mbeya na Songwe.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nauye akizungumza na wadau wa wizara hiyo kutoka Mikoa ya Mbeya na Songwe katika kikao kilicho fanyika jana kwenye Ukumbi wa mikutano wa Mkapa jijini Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa akipokea vifaa vya mawaliano (Ipad) kutoka kwa Waziri wa habari utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nauye.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala kulia akipokea vifaa vya mawasiliano (Ipad) kutoka kwa Waziri wa Habari utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nauye.
No comments:
Post a Comment