May 02, 2016

DICOTA 2016 DALLAS, TEXAS SIKU YA MWISHO YA KONGAMANO


Balozi wa Tanzania akifuatilia kongamano la DICOTA 2016 lililofikia ukingoni siku ya Jumamosi April 2016 jijini Dallas, Texas nchini Marekani. Picha na Vijimambo/Kwanza production.
Wawakilishi wa CRDB wakifuatilia kongamano.
Mwakilishi wa CRDB.
Wadau mbalimbali kutoka majimbo tofauti wakifuatilia kongamano.

No comments:

Post a Comment

Pages