Ofisa Mkuu Mwandamizi Idara
ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim
Kimaro, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mpambano wa nani zaidi kati ya Msondo na Sikinde uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki. NSSF ilidhamini onyesho hilo na kutoa elimu juu ya hifadhi ya jamii kwa wanamuziki wa dansi na wadau mbalimbali wa muziki waliohudhulia tamasha hilo. (Na Mpiga Picha Wetu)
Ofisa Mwandamizi Masoko
na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi fulana, Jumanne Mnola alipotembelea banda la NSSF wakati wa mpambano wa nani zaidi kati ya Msondo na Sikinde kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto), akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea
banda lao.
Ofisa Mwandamizi Masoko
na Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi ya
wananchi waliotembelea banda lao.
Ofisa Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa vipeperushi
kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao katika tamasha la muziki ambapo bendi za Msondo na Sikinde zilichuana.
Wafanyakazi wa NSSF
wakimkabidhi fulana mteja wao, Antela Salumu (katikati).
Ofisa wa
NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na NSSF.
Ofisa
uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja alietembelea
banda lao Fumbwe Juma.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment