May 16, 2016

MBUNGE WA MOMBA DAVID SILINDE ASHINDA KESI YA KUPINGA USHINDI WAKE

Wananchi wa mjini Tunduma wakimsindikiza Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoa wa Songwe, David Silinde, wakati akitoka katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, baada ya kushinda kesi yake ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana, Dk. Luca Siame (CCM). Picha na Kenneth Ngelesi.
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mkoa wa Songwe, David Silinde (katikati) akipongezwa na wafuasi wake baada ya kushinda kesi yake iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea Ubunge Jimbo hilo, Dk Luca Siame (CCM) akipinga ushindi wake katika mahakama Kuu Kanda ya Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Pages