May 03, 2016

SSRA WALIVYOSHIRIKI MEI MOSI KIMKOA NA KITAIFA DODOMA

Wafanyakazi wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) wakitembea kwenye maandamano ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (May Day) 01/05/2016, kuelekea Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambako maandamano hayo yaliyofanyika Kimkoa jijini yalipokelewa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda. 
Wafanyakazi wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) wakiwa kwenye maandamano hayo ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (May Day) 01/05/2016, kuelekea Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita mbele ya Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. 
Wafanyakazi wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita mbele ya Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.  
Wafanyakazi wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (May Day), 01/05/2016, wakipita mbele ya Mgeni rasmi, Rais Dk. John Magufuli, Uwanja Jamhuri mjini Dodoma, ambako maandhimisho hayo, yaliadhimishwa Kitaifa na kuhutubiwa na Rais Dk. Magufuli.
Wafanyakazi wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) wakipita katika maandamano ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (May Day), mbele ya Mgeni rasmi, Rais Dk. John Magufuli, Uwanja Jamhuri mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa SSRA, wakipita katika maandamano ya maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (May Day), mbele ya jukwaa kuu, alipokuwa Mgeni rasmi, Rais Dk. John Magufuli, Uwanja Jamhuri mjini Dodoma, akipokea maandamano hayo. 
Wafanyakazi wa SSRA, wakiwa ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma mara baada ya kupita mbele ya Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (May Day), Rais Dk. John Magufuli mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages