HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 06, 2016

WAKAZI WA MWENGE WAJIUNGA NA NSSF BAADA YA KUPATA ELIMU JUU YA HIFADHI YA JAMII

Ofisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya waliojiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF wakati wa kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari iliyofanyika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Francis Dande)
Wakazi wa Mwenge wakijunga na Uanachama wa Hiari wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF.
Ofisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee (kushoto), akiwaandikisha wanachama wapya waliojiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF wakati wa kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari iliyofanyika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Wananchi wa maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam wakijiandikisha ili kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF.

No comments:

Post a Comment

Pages