May 14, 2016

YANGA BINGWA 2015/16

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba, akimkabidhi Kombe nahodha wa timu ya Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
 Mashabiki wa Yanga wakisherehekea ubingwa.
 Viongozi wa Yanga wakiwa na baadhi ya wachezaji wakiwa na kombe lao. 

No comments:

Post a Comment

Pages