Meneja Mikopo ya WAFI wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe akitoa mada
wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika jijini
Dar es Salaam leo, ambapo benki hiyo ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini katika uzinduzi
huo. (Picha na Francis Dande)
Meneja Mikopo ya WAFI wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe akitoa mada wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, ambapo benki hiyo ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini katika uzinduzi huo.
Viongozi wa Benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo.
Meneja Mikopo ya WAFI wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe (katikati) akiwa katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wanawake waliohudhuria uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wakiwa katika banda la Benki ya CRDB.
Baadhi ya Mameneja na maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanawake wakipata huduma katika banda la Benki ya CRDB.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioZDf2gEQeRSJ0iXUt-AxcnzoAb6ZGnD8UGCt9ZDIiEsJ_8DJlqMQ6mFeiGWLo4DA-RyuI6DUkyzKpkuK12PCfiAC6bGuwpD7QcQ4SU8zQnMiGC1WShGTXokx_fWD-kgZ71-RyaU4yEYY/s640/8H3H0169.JPG)
Wakinamama wakipata huduma katika banda la Benki ya CRDB.
Viongozi wa Benki ya CRDB wakiwa katika uzinduzi huo.
Meneja Mikopo ya WAFI wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe (katikati) akiwa katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wanawake waliohudhuria uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wakiwa katika banda la Benki ya CRDB.
Baadhi ya Mameneja na maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanawake wakipata huduma katika banda la Benki ya CRDB.
Wakinamama wakipata huduma katika banda la Benki ya CRDB.
Washiriki wakifuatilia uzinduzi huo.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti Meneja Mikopo ya WAFI wa Benki ya CRDB, Rehema Shambwe kutokana na kutambua mchango wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi uliofanyika jijini Dar es Salaam, na kudhaminiwa na Benki ya CRDB. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya Maendeleoo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Makamu wa Rais (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadhamni wa wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi.
Makamu wa Rais (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadhamni wa wa uzinduzi wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi.
No comments:
Post a Comment