July 19, 2016

JUMA ABDUL MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2015/16

  Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo kwa wachezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa  2015/16. (Picha na Francis Dande)
  Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa  2015/16,  Juma Abdul wa Yanga. 
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akimpongeza mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa  2015/16,  Juma Abdul wa Yanga. 
Mshambuliaji wa Simba, Mohamed Huseein (kushoto), akipokea hundi ya mfano  yenye thamani ya Sh. Mil. 4 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Masoko wa Vodacom Tanzania, Ashutosh Tiwary ikiwa ni zawadi ya Mchezaji Chipukizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa  2015/16. 
Meneja wa Yanga, Haffidh Saleh akimpongeza mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa  2015/16,  Juma Abdul wa Yanga. Katika ni kocha wa klabu hiyo, Hans van der Pluijm. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Pages