July 20, 2016

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA UPANUZI NA UKARABATI WA UWANJA WA NDEGE WA DODOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza king'ola kuashiria  uwekaji jiwe la msingi la Mradi wa  Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Dodoma Julai 302016. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan  Lugimbana. Kushoto ni Meya wa manispaa ya Dodoma, Jafari Mwanyembwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la misngi la upanuzi  na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma mjini Dodoma Julai 20, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika hafla ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 20, 2016.  Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na kushoto  kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana.

No comments:

Post a Comment

Pages