Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza king'ola kuashiria uwekaji
jiwe la msingi la Mradi wa Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa
Dodoma Julai 302016. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma,
Jordan Lugimbana. Kushoto ni Meya wa manispaa ya Dodoma, Jafari
Mwanyembwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma Adam
Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la misngi
la upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma mjini Dodoma Julai
20, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
walioshiriki katika hafla ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi na
ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 20, 2016. Kulia kwake ni
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na
kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana.


No comments:
Post a Comment