Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone akiwa saloon kabla ya kuelekea katika ukumbi wa Lulu Sinza jijini Dar es Salaam Agosti 10 ambako hafla ya Kitchen Party ilifanyika. (Picha na Habari Mseto Blog)
Clezencia Tryphone akipambwa katika Saloon ya Center Point Mwenge.
Akiwa katika pozi.
Pozi tofauti.
Pozi tofauti.
Akiwa katika tabasabu.
Akiwa katika pozi.
Mandhari ya ukumbi.
Baadhi ya zawadi.
Zawadi.
Nasra Kitana wa gazeti la Uhuru akiwa na Elizabeth John wa gazeti la Tanzania Daima wakiwa katika picha ya pamoja.
Badhi ya wafanyakazi wenzake na Clezencia wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Glory Chaki, Happiness Mnale, Nasra Abdalah, Elizabeth John na Neema Mwampamba.

Wafanyakazi wa gazeti la Tanzania Daima pamoja na marafiki wa Clezencia wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wageni waalikwa.
Wageni.
Waalikwa.
Asha Kigundula na Mwani Nyangasa.
Wageni waalikwa.
Masomo wakicheza taaribu.
Mama mzazi wa Bi. harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.
Waalikwa wakiwa ukumbini.
Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.
Dada yake akimpa zawadi.
Sakina Liyoka ambaye alikuwa Somo wake akimkabidhi zawadi ya Dressing Table B. harusi mtarajiwa.
Akiwa amepozi katika sofa.
Baadhi ya wanakamati wakiwa wamekaa katika sofa walililomkabidhi Bi. Harusi mtarajiwa.
Baadhi ya wanakamati wakiwa katika picha ya pamoja na Bi. harusi mtarajiwa.
bi harusi mtarajiwa akiangalia zawadi ya Friji.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Asha Kigundula akimkabidhi zawadi ya kitanda.
Bi. Harusi mtarajiwa akiwa amepozi na mama yake mzazi.
Bi. Harusi mtarajiwa akimpa zawadi ya shukrani Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi.
Irene (kushoto) akiwa na Mwanaisha.
Dada wa bi. harusi mtarajiwa wakigonga glass za shampeni.
Bi. harusi mtarajiwa akitoa machozi baada ya kuonyeshwa upendo wa kipee kutoka kwa mama yake.
Violeth Temba akiwa na bi. harusi mtarajiwa.
Baadhi ya waalikwa.
Mhasibu wa Free Media akiweka pozi.
Betty Kangonga na bi harusi mtarajiwa.
Waalikwa.
Akimpa zawadi dada yake.
Akimtunza somo wake.
Bi. harusi mtarajiwa akitoka ukumbini.

No comments:
Post a Comment