Ofisa Uwekezaji Kitengo cha Mauzo ya Nyumba wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Munira Omary (kulia), akimpa maelezo mmoja wa
wakazi wa Lindi aliyetembelea kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane
Mkoani Lindi juu ya ununuzi wa nyumba kwa njia ya mkopo, mwanachama anaweza
kununua nyumba hizo kwa kulipa kidogokidogo kwa miaka 15 akiwa anaishi ndani ya
nyumba hizo. (Na Mpiga Picha Wetu)
No comments:
Post a Comment