October 17, 2016

RAIS MAGUFULU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DK. DIDAS MASSABURI

Rais John Magufuli akiteta jambo na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi kwenye viwanja vya Karimjee Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Rais John Magufuli akiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi kwenye viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo na Rais Dk. John Magufuli (katikati), wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Massaburi.kushoto ni aliyekuwa waziri wa wizara mbalimbali, Prof. Philimon Sarungi. 
Rais  John Magufuli akifuta machozi wakati wa ibada ya kuaga mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Massaburi katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.  Kulia ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete na aliyekuwa waziri wa wizara mbalimbali, Prof. Philimon Sarungi.
Waombolezaji.
Waombolezaji.
Rais John Magufuli akizungumza wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Dk. Didas Massaburi.
Rais Dk. John Magufuli na mkewe wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli na mkewe wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam.
Rais Dk. John Magufuli na mkewe wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete na mkewe wakitoa heshima za mwisho.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho.
Mke wa marehemu Janeth Massaburi (mwenye miwani).
Baadhi ya ndugu wa karibu wa marehemu.
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Neville Meena akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Dk. Didas Massaburi. 
Kutoa heshima za mwisho.
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho.
Ni majonzi na simanzi kwa watoto wa marehemu wakati wa kuaga mwili wa baba yao.
Vijana wa umoja wa vijana wa CCM wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Dk. Didas Massaburi.
Safari ya mwisho.

No comments:

Post a Comment

Pages