October 17, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASIKITISHWA NA MWEKEZAJI KUBADILI MATUMIZI YA KIWANDA NA KUKITELEKEZA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiangalia Kiwanda  cha ILULU kilichokuwa kinatengeneza mafuta ambacho mwekezaji amekifanya kuwa Ghala na kukitelekeza na watu kuiba vifaa na kufanya uharibifu mkubwa, kiwanda hicho kipo Wilaya ya Rungwe Mkoani Lindi Waziri Mkuu yupo katika ziara ya kikazi katika wilaya ya Nachingwea na Rungwe Mkoani Lindi. (Picha na Chris Mfinanga).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia baadhi ya magari yalivyo haribika ambayo yalikuwa yanamilikiwa nakiwanda cha kukamua ufuta  ILULU kiwanda hicho kipo wilayani Nachingwea Mkoani lindi ambapo mwekezaji aliye kichukua amebadili matumizi na kukifanya Ghala lakuhifadhia bidhaa kushoto kwa waziri mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi.

No comments:

Post a Comment

Pages