Mtaribu wa tamasha la 'Kale ni Dhahabu' ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seree, Sabina
Kaphipa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusiana na tamasha la utamaduni litakalowahusisha machifu zaidi ya 100 wa Tanzania. Pamoja nae ni Afisa Masoko, Anael Masasi. (Picha na Seree Company).
No comments:
Post a Comment