November 03, 2016

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha  ya pamoja na Waganga wa Tiba Asili Tanzania waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Makamu Mwenyekiti wao ambaye pia ni Mbunge wa Korogwe  Vijijini, Stephene Hillary Ngonyani maarufu kwa jina  la Profesa Maji Marefu, Novemba 2, 2016. 

No comments:

Post a Comment

Pages