November 03, 2016

Sherehe za familia za Bayport Kibaha

Afisa Mtendaji Mkuu wa Bayport Financial Services, John Mbaga, akizungumza jambo katika sherehe za Siku ya Familia ya wana Bayport waliosherekea pamoja na watoto wao pamoja na watoto wanaolelewa na kituo cha Kibaha Children Village Centre (KCVC), mwishoni mwa wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment

Pages