November 03, 2016

PAMBANO LA YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA

 Wachezaji wa Mbeya City wakishangalia bao la pili lilifungwa na naodha Kenny katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. (Picha na Kenneth Ngelezi).
 Mchezhi wa timu ya Yanga Hassan Kesy akijaribu kumiliki mpira mbele ya mshambulijai wa Mbeya, City Joseph Mahundi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzanbia Bara  na Mbeya City kuibuka na ushindi wa 2-1.
  Mshambuliaji wa timu Yanga Saimon Msuva kushoto akitafuta njia ya kumtoka beki wa timu ya Mbeya City, Rajab Zair mchezo wa Ligi Kuu.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakimzonga mwamuzi Rajabu Mrope  wa Ruvuma,kwa baada ya kutoa maamuzi ya goli la Mbeya Cty lilifungwa na Kenny Ally na kuzua utata mchezo ualipigwa Sokoine Jijini Mbea Mbeya City ilishinda 2-0.

No comments:

Post a Comment

Pages