November 22, 2016

RAIS MPYA WA TCCIA AKUTANA NA MWENYEKITI WA CEO ROUND TABLE

 Ndibalema Mayanja akukutana na Mwenyekiti wa CEO Round Table Ali Mfuruki  ili kukuza mahusiano ya Taasisi hizi nyeti kwa maendeleo ya Biashara, Viwanda na Kilimo. Katika mkutano huo Rais Mayanja aliongozana na Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu, Mkurugenzi Muganda na Mshauri wa TCCIA Imani Kajula.
Rais Mpya wa TCCIA Ndibalema Mayanja akibadilishana nyaraka na Mwenyekiti wa CEO Round Table Ali Mfuruki baada ya kikao chao kilicholenga kukuza mahusiano ya Taasisi hizo mbili muhimu kwa maendeleo ya biashara, kilimo na viwanda. Katikati ni Makamu Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu.

No comments:

Post a Comment

Pages