HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 02, 2016

LUKUVI ARUDISHA ARDHI YA MKAZI WA KIGOMA KUTOKA KWA RAIA WA KONGO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willam Lukuvi akiwa katika ziara ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Mkoani Kigoma amerudisha ardhi iliyokuwa ikimilikiwa na Mzee Shaban Hussein mkazi wa Machinjioni Kigoma Mjini, ambaye alinyng’anywa na Raia wa Kongo Bwana Mwenge Muyombi.

No comments:

Post a Comment

Pages