Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi, hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 inayojengwa na kampunui ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies, ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies, Said Salim Bakhresa. (Picha na Ikulu).
January 03, 2017
Home
Unlabelled
RAIS SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI VERDE-MARINE HOTEL ZANZIBAR
RAIS SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI VERDE-MARINE HOTEL ZANZIBAR
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment