Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, (Chadema), akitoka mahakamani leo huku akipunga mkono baada ya Mahakamani Kuu Kanda ya Arusha kushindwa kuendelea kusikiliza na kutolea uamuzi rufaa ya upande wa Serikali wanaopinga mbunge huyo kupatiwa dhamana kutokana na mawakili wa Serikali kuwasilisha kusudio la kukata rufaa Mahakama ya Rufaa nchini. (Picha na Grace Macha).
Lema akielekea kupanda gari la Magereza kwa safari ya kurudi katika gereza la Kisongo mkoani Arusha.
No comments:
Post a Comment