January 22, 2017

MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA LAPTOP

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Laptop  Mwandishi Chipukizi wa Vitabu vya Taaluma, Ali Salum Alujai ukiwa ni msaada aliompatia ili aweze kufanya vizuri zaidi katiaka uandishi wake. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Ikulu ndogo ya Njombe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Pages